![]() |
Advertisement |
Jaji Mwita alisema haki ya kimsingi ya wakili huyo haikuzingatiwa katika kufurushwa kwake kutoka humu nchini.
Jaji Chacha Mwita alisisitiza kuwa wakili huyo yuko huru kuingia tena nchini kenya na ikiwa serekali itamnyima pasi hiyo basi anaruhusa hata kutumia pasi yake ya kusafiria ya Canada.
wakati huo huo jaji huyo alifutilia kwa mdaa notisi ya waziri wa usalama Dr Matiang’i kwenye gazeti ya serekali kuwa NRM ni kundi haramu nchini.
0 comments: