Tuesday, 5 September 2017

NDOTO YA JAGUAR YATIMIA

ad300
Advertisement
Tarehe 31 Agosti mwaka wa 2017 katika studio za Main Switch kibao kipya kiliekwa hewani ambacho  kilichotungwa na msaani mahiri inchi Kenya kwa jina Jaguar, 
Jaguar ambaye majina kamili anaitwa Charles Njagua Kanyi ambaye baada ya kushinda uchaguzi wa mwezi wa  agosti 8 akiwa na chama cha Jubilee aliwashinda wapinzani wake kama vile Steve Mbogo wa ODM aliyepata kura 38,264 sawa na asilimia 32.26 na mwanaharakati Boniface Mwangi wa chama cha UP aliyejizolea kura 15,877 sawa na asilimia 13.38 huku Jaguar akishinda kiti hicho cha ubunge wa eneo bunge la Starehe kwa kura 61,262 sawa na asilimia 51.61. 
katika kibao hicho msanii Jaguar alieleza zaidi kuhusu maisha yake haswa wakati mgumu aliopitia huku akiwa na ndoto za kuwa kama mwanabondia Muhammad Ali pia alitamani kutimiza ndoto zake akiwa tangu utotoni kuwa siku moja atakuwa maarufu huku jamii ikimsema na kumwambia kuwa  hizo zote ni ndoto ambazo haziezi timiza lakini baada ya kula kiapo cha kuwa mbunge wa Starehe Jaguar ametimiza ndoto aliyoiota miaka mingi


 
Share This
Previous Post
First

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: