Tuesday, 12 September 2017

UKOSEFU WA AJIRA KENYA

ad300
Advertisement
Asilimia ya vijana ambao hawana ajira inazidi kuongezeka kila kukicha kwani kwa sasa asilimia hiyo iko asilimia 22.2 juu zaidi ya majirani zetu Tanzania,Uganda na Ethiopia.
Kulingana na takwimu za hivi punde kutoka kwa shirika la Umoja wa Mataifa kuhusiana na ripoti ya maendeleo ya binadamu ni kuwa kufikia mwisho wa mwaka jana asilimia ya vijana ambao hawana ajira Tanzania ilikuwa asilimia 5.2 nao Uganda ilikuwa asilimia 4.0 huku vijana wa Rwanda na Burundi ambao hawana kazi iko asilimia 3.3 na asilimia 3.1 mtawalia.
Hapa Kenya asilimia hiyo imepanda mara dufu kulingana na shirika la ukadiriaji wa idadi ya watu ililo na makao yake katika nchi ya Marekani ni kuwa vijana walio na umri kati ya miaka 15 na 24 ambao hawana kazi ni asilimia 20.3.
Nayo ripoti ya Umoja wa Mataifa ikionesha asilimia ya vijana walikosa ajira Kenya iko sawa na zile za Ethiopia na Rwanda zikichanganywa .
Asilimia hizi ambazo ziko juu zaidi zinatishia kwenye ukuwaji wa uchumi wa Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa miaka inayokuja .
Huku viongozi wingi wa kisiasa walitumia kigezo cha ukosefu wa ajira katika kampeni zao haswa wale waliotaka urais walitumia ukosefu wa ajira kuomba kura za vijana wakiwaahidi kuzalisha ajira ilikupunguza asilimia hizi na hata wakati huu taifa linapojitaarisha tena kwa uchaguzi mpya wa urais wa oktoba 17

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: