![]() |
Advertisement |
Ni shule mpya ya sekondari ya kuchwa iliyopo kaunti ya Kilifi katika kaunti ndogo ya Malindi eneo la Msabaha iliyo na walimu waliohitimu na walio na ujuzi wa kutosha, inawatangazia nafasi za masomo kwa wanafunzi wote wa kidato cha kwanza na cha pili mwaka huu wa 2018 .
Sure Step Academy pia imetoa ofa kwa kidato cha kwanza kulipa 5000/= kama karo nao kidato cha pili 8000/= mtawalia kwa muhula.
Mpatie mwanao nafasi katika shule hii kwani usajili unaendelea kwa sasa.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea shule ya Sure Step Academy-Msabaha iliyopo ubavuni mwa mskiti Al-abrar karibu na steji ya msabaha au wasiliana nasi kupitia namba hizi 0727157570 au 0702699334 au 0775547555.
Chaguo bora kwa elimu ya mwanao.
0 comments: