Saturday, 24 February 2018

MAANDAMANO MPEKETONI

ad300
Advertisement
Wafuasi wa mbunge  wa Lamu Magharibi Stanley Muthama wamefanya  maandamano ya amani katika mji wa mpeketoni leo siku ya jumamosi kupinga uamuzi uliotolewa na mahakama ya Malindi juzi kufutilia mbali ushindi wa mbunge huyo  wa Agosti 8 kama mbunge wa eneo hilo kwa sababu kuwa uchaguzi ulikuwa na dosari nyingi.
Mamia ya wafuasi hao walibeba mabango na kuimba nyimbo za kutetea mbunge huyu .
wakiongea nasi wafuasi hao walisema kuwa chaguo lao kama watu wa lamu magharibi ni Muthama,huku wakimuomba Rais Uhuru kuwa ahakikishe Muthama ndio mbunge wao kwani ndani ya miezi sita ya kuchanguliwa kwake mambo mengi amefanya.

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: