Advertisement |
Gavana wa kaunti ya Mombasa jana alitangaza habari njema kwa wakazi wa kautni ya mombasa haswa wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kuwa tayari shirikisho la soka nchini (FKF) imekubali ombi lao na kwa sasa uwanja huo wa kisasa wa Bomu ulioko katika eneo bunge la changamwe, utakuwa uwanja wa nyumbani kwa timu ya taifa la kenya Harambe stars ya wachezaji wasio zidii umri wa miaka 20 ikikaribisha timu ya taifa la Misri katika mchezo wa kirafiki mwezi ujao .
Gavana Joho pia alitoa shukurani zake kwa mbunge wa eneo hilo Omar Mwinyi na mwenyekiti wa shirikisho la soko nchini Nicholas Mwendwa.
0 comments: