Advertisement |
Aukot alisema mawaziri hawa vivuli watakuwa vioo kwa mawaziri waliotajwa na Rais Uhuru Kenyatta Januari 26 pia aliongezea akisema aliowachagua ni watu walio na sifa tele kwa kazi hiyo huku akiambiwa mawaziri wateule kuwa atahakikisha wamefanya kazi kisawa sawa.
Kiongozi huyo pia alichagua timu maalum ya washauri wakuu kwa mawaziri vivuli hao .
0 comments: