Thursday, 22 February 2018

USHINDI KWA JOHO

ad300
Advertisement
Mahakama ya Mombasa imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na mpinzani wa mbali wa gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho kupinga kuchaguliwa kwake, jaji Lydia Achode amesema mlalamishi seneta wa kwanza Mombasa Hassan Omar alishindwa kuthibitisha kwa mahakama kuwa kulikuwa na dosari nyingi, ikiwemo karatasi ambazo hazikuwa na sahihi na kumuagiza alipe shilingi milioni 8  kama gharama ya kesi.
Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: