![]() |
Advertisement |
Afisa mkuu mtendaji wa NASA Norman Magaya ameeleza kwamba viongozi wa NASA wanamipango ya kuunda serikali
Magaya aliwaahidi Wakenya kuwa serikali yao itaanza kazi moja kwa moja huku wakianza mipango ya kuunda serikali
huku wakiwatambua baadhi ya viongozi watakaoteuliwa kuwa mawaziri katika serikali hiyo. Serikali ya NASA iliundwa punde tu baada ya kumwapisha Raila Odinga kama Rais wa wananchi Januari 30
Magaya alijitokeza na kuwajibu Wakenya ambao walikuwa wakiuliza kuhusu kitakachofuata baada ya kumwapisha Raila Odinga kama rais
‘’Mazungumzo kuhusu uteuzi wa mawaziri unapaswa kuanza leo hii’’ Magaya alisema Magaya aliwaahidi wafuasi wa NASA kuwa atoa habari baadaye kuhusu mahali ambapo afisi za serikali hiyo itawekwa.
0 comments: