Wednesday, 2 May 2018

LETENI HULL CITY GOR WATAMKA

ad300
Advertisement
Gor ilishindana na AFC Leopards mpaka mwisho katika mchuano ulioibuka tasa 
Ilibidi timu hizo kupiga mikwaju ya penalty ili kupata mshindi baada ya kutoka sare tasa 
Gor ilishinda penalty hizo baada ya kuilaza AFC Leopards 5-4 
Gor sasa itakutana na Hull City, kutoka Ligi ya daraja la kwanza nchini Uingereza, Jumapili Mei 13, katika uwanja wa Afraha, Nakuru 
Gor Mahia ilichuana na AFC Leopards katika Uwanja wa Afraha, Nakuru, Jumanne Mei 1 katika shindano ambalo kwa wengi linafahamika ‘Mashemeji derby’. Timu hizo zilionyesha mchezo mzuri licha ya kutoka sare tasa. Lakini kupitia kwa mikwaju ya penalty, Gor iliweza kushinda mechi iliyokuwa na ushindani mkali.  K'Ogalo ilishinda Ingwe 5-4 baada ya mchezaji wa AFC Victor Oburu kukosa kutingisha wavu, na badala yake kupiga mpira juu ya lango.  Mabingwa hao wa KPL sasa watacheza na Hull City,
Mchuano huo wa Jumanne Mei 1, ulihudhuriwa na Raila Odinga, aliyefika kwa chopa,baada ya kuhudhuria sherehe za Leba Dei, Uhuru Park


Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: