Advertisement |
Ni Mixtape iliyo beba collabo za wasanii kadhaa wakubwa kutoka eneo la Pwani kama K-Mode, Dricky na wengine wengi kutoka maeneo ya Kisauni kaunti ya Mombasa na Pwani kwa ujumla.
Monsta ambaye ndio kiongozi wa kundi la Mashariki Safi linalofanya vizuri kwa sasa katika tasnia ya mziki wa HipHop katika eneo la Pwani.
Mixtape hii imetaarishwa na maproducer wakali kwa majina Zion na Marvin Brudas
Nunua mixtape hii ili uzidii kumpa nguvu na support ya kimziki msaani huyo kwenye kipaji cha kuimba kutoka eneo la Watamu.
#letsupportbestlocaltalent.
0 comments: