Tuesday, 9 January 2018

"ONDEKENI BARABARANI"RAIS UHURU ASEMA

ad300
Advertisement
Rais Uhuru Kenyatta amewataka maafisa wote wa NTSA kuondoka barabarani haraka iwesekanavyo huku Rais akisema ni maafisa wa polisi trafiki tu watakao ruhusiwa kuwa barabarani.
kauli hii inakuja baada ya malalamiko kutoka kwa wanainchi kuhusu maafisa  wa NTSA .
Share This

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

Related Posts

0 comments: